ad-Daaraqutniy Kuhusu Kushuka Kwa Allaah

Mapokezi kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam) kuhusu kwamba Allaah (Tabaaraka wa Ta´ala) hushuka kila usiku mbingu ya chini na huwasamehe wale wanaomuomba msamaha na huwapa wale wanaomuomba: 1 - 'Aliy bin Abiy Twaalib (Radhiya Allaahu ´anhu) kaeleza kwamba Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam) kasema: "Wakati inapofika theluthi ya usiku, hushuka Allaah ('Azza wa Jalla) kwenye mbingu ya chini na kubaki hapo mpaka alfajiri inapoingia na kusema: "Je, kuna mtu anayeniomba ili Nimpe? Je, kuna mtu anayenihitaji kwa haja Nimkidhie haja yake? Je, kuna ambaye ni mgonjwa ili Nimponye? Je, kuna ambaye ni mwenye madhambi aombae msamaha ili nimsamehe?" Mwandishi: Imaam Abul-Hasan ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutniy (d. 385) Chanzo: Kitaab-un-Nuzuul (1)

Mapokezi kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) kuhusu kwamba Allaah (Tabaaraka wa Ta´ala) hushuka kila usiku mbingu ya chini na huwasamehe wale wanaomuomba msamaha na huwapa wale wanaomuomba:

1 – ‘Aliy bin Abiy Twaalib (Radhiya Allaahu ´anhu) kaeleza kwamba Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) kasema:

“Wakati inapofika theluthi ya usiku, hushuka Allaah (‘Azza wa Jalla) kwenye mbingu ya chini na kubaki hapo mpaka alfajiri inapoingia na kusema: “Je, kuna mtu anayeniomba ili Nimpe? Je, kuna mtu anayenihitaji kwa haja Nimkidhie haja yake? Je, kuna ambaye ni mgonjwa ili Nimponye? Je, kuna ambaye ni mwenye madhambi aombae msamaha ili nimsamehe?”

Mwandishi: Imaam Abul-Hasan ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutniy (d. 385)
Chanzo: Kitaab-un-Nuzuul (1)


  • Kitengo: Uncategorized , Kushuka (kuteremka) kwa Allaah
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Sunday 27th, October 2013