Abul-Hasan al-Ash’ariy Kuhusu Kushuka Kwa Allaah

Kinachothibitisha ya kwamba Allaah Kastawaa juu ya ´Arshi na si vinginevyo, ni yale yaliyopokelewa kuhusu Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam) kasema: "Mola Wetu (Tabaaraka wa Ta´ala) Hushuka kila siku katika mbingu ya chini na kusema: "Je, kuna mtu anayeniomba ili Nimpe? Je, kuna ambaye ananiomba msamaha ili Nimsamehe?” Mpaka kunapopambazuka. Mwandishi: Imaam Abul-Hasan ´Aliy bin Ismaa´iyl al-Ash'ariy (d. 330) Chanzo: al-Ibaanah, uk. 99

Kinachothibitisha ya kwamba Allaah Kastawaa juu ya ´Arshi na si vinginevyo, ni yale yaliyopokelewa kuhusu Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) kasema:

“Mola Wetu (Tabaaraka wa Ta´ala) Hushuka kila siku katika mbingu ya chini na kusema: “Je, kuna mtu anayeniomba ili Nimpe? Je, kuna ambaye ananiomba msamaha ili Nimsamehe?” Mpaka kunapopambazuka.

Mwandishi: Imaam Abul-Hasan ´Aliy bin Ismaa´iyl al-Ash’ariy (d. 330)
Chanzo: al-Ibaanah, uk. 99


  • Kitengo: Uncategorized , Kushuka (kuteremka) kwa Allaah
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Sunday 27th, October 2013