Abu Daawuud Kuhusu Kushuka Kwa Allaah

"Mlango: Radd kwa Jahmiyyah: Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam) kasema: "Mola Wetu (Tabaaraka wa Ta´ala) Hushuka kila siku katika mbingu ya chini wakati kunabaki theluthi ya usiku na kusema: "Je, kuna mtu anayeniomba ili Nimpe? Je, kuna mtu anayenihitaji kwa haja Nimkidhie haja yake? Je, kuna ambaye ananiomba msamaha ili Nimsamehe?” Mwandishi: Imaam Abu Daawuud Sulayman bin al-Ash'ath as-Sijistaaniy (d. 275) Chanzo: as-Sunan (4716)

“Mlango: Radd kwa Jahmiyyah: Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) kasema:

“Mola Wetu (Tabaaraka wa Ta´ala) Hushuka kila siku katika mbingu ya chini wakati kunabaki theluthi ya usiku na kusema: “Je, kuna mtu anayeniomba ili Nimpe? Je, kuna mtu anayenihitaji kwa haja Nimkidhie haja yake? Je, kuna ambaye ananiomba msamaha ili Nimsamehe?”

Mwandishi: Imaam Abu Daawuud Sulayman bin al-Ash’ath as-Sijistaaniy (d. 275)
Chanzo: as-Sunan (4716)


  • Kitengo: Uncategorized , Kushuka (kuteremka) kwa Allaah
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Sunday 27th, October 2013