´Abdur-Razzaaq ash-Shaayijiy Ni Mpumbavu

Asiyekuwa na kitu hawezi kutoa chochote. Tunamwambia ´Abdullaah as-Sabt aje na mwanafunzi mmoja bingwa katika wanafunzi zake. Na mwambie mwalimu wako ´Abdur-Rahmaan ´Abdul-Khaaliq aje na mwanafunzi mmoja bingwa. Tunampa changamoto. Wakisema kuwa ash-Shaayijiy ni bingwa na amesema hili na lile kwa ´Abdur-Rahmaan... Kisha isitoshe ash-Shaayijiy ni mpumbavu. Ndio, ni sahihi kwamba ni mpumbavu. Amewasemea uongo Ahl-us-Sunnah katika kitabu chake. Wanafunzi zako, ´Abdur-Rahmaan, ni wapumbavu kama mfano wa ash-Shaayijiy? Umepotea na kukhasirika ikiwa ni wapumbavu kama ash-Shaayijiy, na Allaah ndiye Anayetakwa msaada.

Asiyekuwa na kitu hawezi kutoa chochote. Tunamwambia ´Abdullaah as-Sabt aje na mwanafunzi mmoja bingwa katika wanafunzi zake. Na mwambie mwalimu wako ´Abdur-Rahmaan ´Abdul-Khaaliq aje na mwanafunzi mmoja bingwa. Tunampa changamoto. Wakisema kuwa ash-Shaayijiy ni bingwa na amesema hili na lile kwa ´Abdur-Rahmaan… Kisha isitoshe ash-Shaayijiy ni mpumbavu. Ndio, ni sahihi kwamba ni mpumbavu. Amewasemea uongo Ahl-us-Sunnah katika kitabu chake. Wanafunzi zako, ´Abdur-Rahmaan, ni wapumbavu kama mfano wa ash-Shaayijiy? Umepotea na kukhasirika ikiwa ni wapumbavu kama ash-Shaayijiy, na Allaah ndiye Anayetakwa msaada.