Wengi Walio Pamoja Na al-Ikhwaan al-Muslimuun Wako Nao Kwa Maslahi Ya Kidunia

Baada ya hapo wameuliza maswali muhimu. Baadhi ya maswali hayo yanahusu jumuiya na mengine yanahusu al-Ikhwaan al-Muslimuun. Ni katika fadhila za Allaah ujiwekaji mbali kutokamana na al-Ikhwaan al-Muslimuun umekuwa ni mkubwa iwezekanavyo. Naweza kuapa kwa Allaah ya kwamba wengi ambao wako na al-Ikhwaan al-Muslimuun wako nao kwa ajili ya tu ya maslahi ya kidunia. Wengi walionao wako nao kwa ajili ya maslahi ya kidunia. Mzungumzaji: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy Chanzo: http://muqbel.net/sounds.php?sound_id=27 Toleo la: 24.04.2016 Imefasiriwa na: Wanachuoni.com

Baada ya hapo wameuliza maswali muhimu. Baadhi ya maswali hayo yanahusu jumuiya na mengine yanahusu al-Ikhwaan al-Muslimuun. Ni katika fadhila za Allaah ujiwekaji mbali kutokamana na al-Ikhwaan al-Muslimuun umekuwa ni mkubwa iwezekanavyo. Naweza kuapa kwa Allaah ya kwamba wengi ambao wako na al-Ikhwaan al-Muslimuun wako nao kwa ajili ya tu ya maslahi ya kidunia. Wengi walionao wako nao kwa ajili ya maslahi ya kidunia.

Mzungumzaji: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
Chanzo: http://muqbel.net/sounds.php?sound_id=27
Toleo la: 24.04.2016
Imefasiriwa na: Wanachuoni.com


  • Kitengo: Uncategorized , Ikhwaan Muslimuun
  • Mfasiri: http://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Sunday 24th, April 2016