Vitabu Vya Suufiyyah, Khawaarij, Rawaafidhw, Ikhwaaniyyah, Qutbiyyah

Na tunatahadharisha dhidi ya vitabu vya Bid´ah na upotofu. Kama vitabu vya Suufiyyah, Khawaarij, Rawaafidhw, Ikhwaan al-Muslimuun, Qutbiyyuun na kadhalika. Vyote hivi vinaingia katika vitabu vya Bid´ah na upotofu. Tunatahadharisha vijana wa Ummah dhidi yavyo. Na mikanda ya watu sampuli hii inayokhalifu Manhaj ya Salaf.