Vipi Wewe Ni Salafiy?

´Allaamah al-Fawzaan: Allaah Anasema: وَالسَّابِقُونَ الْأَوَّلُونَ مِنَ الْمُهَاجِرِينَ وَالْأَنصَارِ وَالَّذِينَ اتَّبَعُوهُم بِإِحْسَانٍ "Na wale waliotangulia awali (katika Uislamu) miongoni mwa Muhaajiriyn (waliohajiri kutoka Makkah), na Answaar (waliowasaida na kuwanusuru Muhaajiriyn katika wakaazi wa Madiynah), na wale waliowafuata kwa ihsaan... " (09:100) Bi maana kufuata njia yao. Sio kwa madai tu na kusema "mimi ni Salafiy" na kwamba "mimi nafuata njia ya Salaf." Ukimuuliza nini maana ya njia ya Salaf: "Sijui, lakini mimi ni Salafiy." Hivyo wewe sio Salafiy. Ikiwa hujui madhehebu ya Salaf wewe sio Salafiy. Vipi utakuwa pamoja na Salafiy na wewe hujui madhehebu yao? وَالَّذِينَ اتَّبَعُوهُم بِإِحْسَانٍ "Na wale waliowafuata kwa ihsaan... " (09:100) Ikiwa unataka kuwa katika madhehebu ya Salaf, jifunze madhehebu ya Salaf na yale waliomo, ili uweze kushikamana nayo bara bara.

´Allaamah al-Fawzaan:

Allaah Anasema:

وَالسَّابِقُونَ الْأَوَّلُونَ مِنَ الْمُهَاجِرِينَ وَالْأَنصَارِ وَالَّذِينَ اتَّبَعُوهُم بِإِحْسَانٍ
“Na wale waliotangulia awali (katika Uislamu) miongoni mwa Muhaajiriyn (waliohajiri kutoka Makkah), na Answaar (waliowasaida na kuwanusuru Muhaajiriyn katika wakaazi wa Madiynah), na wale waliowafuata kwa ihsaan… ” (09:100)

Bi maana kufuata njia yao. Sio kwa madai tu na kusema “mimi ni Salafiy” na kwamba “mimi nafuata njia ya Salaf.”

Ukimuuliza nini maana ya njia ya Salaf:

“Sijui, lakini mimi ni Salafiy.”

Hivyo wewe sio Salafiy. Ikiwa hujui madhehebu ya Salaf wewe sio Salafiy. Vipi utakuwa pamoja na Salafiy na wewe hujui madhehebu yao?

وَالَّذِينَ اتَّبَعُوهُم بِإِحْسَانٍ
“Na wale waliowafuata kwa ihsaan… ” (09:100)

Ikiwa unataka kuwa katika madhehebu ya Salaf, jifunze madhehebu ya Salaf na yale waliomo, ili uweze kushikamana nayo bara bara.