Umuhimu Wa Swalah Tano

Na hizi ni katika fadhila za Allaah (Jalla wa ´Alaa) kuwa Swalah tano Allaah Hufuta makosa [madogo], na ndio mama wa Uislamu [Swalah] na nguzo kubwa baada ya Shahaadah mbili. Allaah Hufuta makosa [madogo] na husamehe madhambi kwa yule ambaye hakufanya madhambi makubwa. "Swalah tano, Ijumaa mpaka Ijumaa, Ramadhaan mpaka Ramadhaan ni kafara kwa yaliyo baina yake ikiwa mtu atajiepusha na madhambi makubwa." إِن تَجْتَنِبُواْ كَبَآئِرَ مَا تُنْهَوْنَ عَنْهُ نُكَفِّرْ عَنكُمْ سَيِّئَاتِكُمْ “Mkiyaepuka makubwa mnayo katazwa, tutakufutieni makosa yenu madogo.” (04:31) Akijiepusha mja na madhambi makubwa, itakuwa Swalah yake, Zakaah, Swawm na matendo yake mema kafara yake, kwa yale makosa madogo.

Na hizi ni katika fadhila za Allaah (Jalla wa ´Alaa) kuwa Swalah tano Allaah Hufuta makosa [madogo], na ndio mama wa Uislamu [Swalah] na nguzo kubwa baada ya Shahaadah mbili. Allaah Hufuta makosa [madogo] na husamehe madhambi kwa yule ambaye hakufanya madhambi makubwa.

“Swalah tano, Ijumaa mpaka Ijumaa, Ramadhaan mpaka Ramadhaan ni kafara kwa yaliyo baina yake ikiwa mtu atajiepusha na madhambi makubwa.”

إِن تَجْتَنِبُواْ كَبَآئِرَ مَا تُنْهَوْنَ عَنْهُ نُكَفِّرْ عَنكُمْ سَيِّئَاتِكُمْ
“Mkiyaepuka makubwa mnayo katazwa, tutakufutieni makosa yenu madogo.” (04:31)

Akijiepusha mja na madhambi makubwa, itakuwa Swalah yake, Zakaah, Swawm na matendo yake mema kafara yake, kwa yale makosa madogo.


  • Author: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz. Mkanda "Sharh Swahiyh al-Bukhaariy"
  • Kitengo: Uncategorized , Fiqh
  • Mfasiri: http://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Sunday 20th, October 2013