Tunaonya Hizbiyyuun Kwa Maslahi Yao Wenyewe

´Allaamah al-Waadi´iy: Ama kuhusu Hizbiyyuun, Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala) Anasema kwenye Kitabu Chake Kitukufu: وَقُولُواْ لِلنَّاسِ حُسْناً "Na semeni na watu kwa wema." (02:83) Sisi tunaonya watu dhidi yao kwa ajili ya maslahi yao wenyewe. Na lazima kuwepo kujeruhiwa na kusifiwa, Jarh wa Ta´diyl. Wanachuoni wanaojulikana wamekubaliana kujeruhiwa na kusifiwa, Jarh wa Ta´diyl, na kuonya dhidi ya Ahl-ul-Bid´ah. Wao wenyewe wanaonya dhidi yetu mchana na usiku. Sisi tunaonya dhidi ya watu wa Bid´ah na tunalingania watu kwenye Sunnah ya Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

´Allaamah al-Waadi´iy:

Ama kuhusu Hizbiyyuun, Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala) Anasema kwenye Kitabu Chake Kitukufu:

وَقُولُواْ لِلنَّاسِ حُسْناً
“Na semeni na watu kwa wema.” (02:83)

Sisi tunaonya watu dhidi yao kwa ajili ya maslahi yao wenyewe. Na lazima kuwepo kujeruhiwa na kusifiwa, Jarh wa Ta´diyl. Wanachuoni wanaojulikana wamekubaliana kujeruhiwa na kusifiwa, Jarh wa Ta´diyl, na kuonya dhidi ya Ahl-ul-Bid´ah. Wao wenyewe wanaonya dhidi yetu mchana na usiku. Sisi tunaonya dhidi ya watu wa Bid´ah na tunalingania watu kwenye Sunnah ya Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).