Siri Ya Qadar

´Allaamah al-Jaamiy: Qadar ni siri ya Allaah wala hatuwezi kuifichua, hivi ndivyo asemavyo ´Aliy bin Abi Twaalib na wengineo. Uchunguzi katika Qadar, na kutaka kujua kwa nini [Allaah] Amefanya, kwa nini Anahuisha, kwa nini hufisha, kwa nini Anafanya [mtu] kuwa fakiri, tajiri na... Hili linamfikisha mtu katika maangamivu. Linafanana hili na uhakika wa Sifa [za Allaah] - vipi usikivu Wake, Macho Yake, Elimu Yake, Kustawaa Kwake, Kuteremka Kwake, vipi Anakuja, je Anapokuja [Allaah] Anaishi au hapana? Lau utafanya uchunguzi kwa hili pia utaangamia. Vipi mtu atafaulu? Kujisalimisha. Mwenye kutaka kufaulu ajisalimishe kwa Allaah na kwa Mtume Wake (´alayhis-Swalaat was-Salaam), na kusadikisha khabari ya Allaah na khabari ya Mtume Wake (´alayhis-Swalaat was-Salaam).

´Allaamah al-Jaamiy:

Qadar ni siri ya Allaah wala hatuwezi kuifichua, hivi ndivyo asemavyo ´Aliy bin Abi Twaalib na wengineo. Uchunguzi katika Qadar, na kutaka kujua kwa nini [Allaah] Amefanya, kwa nini Anahuisha, kwa nini hufisha, kwa nini Anafanya [mtu] kuwa fakiri, tajiri na… Hili linamfikisha mtu katika maangamivu. Linafanana hili na uhakika wa Sifa [za Allaah] – vipi usikivu Wake, Macho Yake, Elimu Yake, Kustawaa Kwake, Kuteremka Kwake, vipi Anakuja, je Anapokuja [Allaah] Anaishi au hapana? Lau utafanya uchunguzi kwa hili pia utaangamia. Vipi mtu atafaulu? Kujisalimisha. Mwenye kutaka kufaulu ajisalimishe kwa Allaah na kwa Mtume Wake (´alayhis-Swalaat was-Salaam), na kusadikisha khabari ya Allaah na khabari ya Mtume Wake (´alayhis-Swalaat was-Salaam).