Shaykh Fawzaan Akiradi Shubuha Za Wanaoabudu Mawalii

Muulizaji: “Pindi tunapowanasihi baadhi ya watu wanaoyategemea makaburi na mawalii, wanatoa dalili ya kwamba mawalii wana karama... ´Allaamah al-Fawzaan: Ndio wana karama, lakini hili halifanyi kuwaabudu pamoja na Allaah. Kuwa na karama, Allaah Anajua zaidi. Baadhi yao hawana karama, isipokuwa ni uongo tu na Dajjal na hawana karama. Lakini ikisihi kweli ya kwamba ana karama, hili halipekei kufanyiwa kitu katika ´Ibaadah. Muulizaji: ... wanatolea dalili ya kwamba mawalii wana karama na kwamba sisi hatukuwaomba isipokuwa kwa yale wayawezayo, na kwamba nyinyi... ´Allaamah al-Fawzaan: Subhaana Allaah! Wamekubali wenyewe ya kwamba wanawaomba. Hii ni Shirki. Wakisema "na sisi hatuwaombi" inamaana wamekubali ya kwamba wanawaomba, hii ni Shirki. وَأَنَّ الْمَسَاجِدَ لِلَّـهِ فَلَا تَدْعُوا مَعَ اللَّـهِ أَحَدًا "Na kwamba Misikiti ni (kwa ajili) ya Allaah, basi msiombe (msimuabudu) yeyote pamoja na Allaah." (72:18)’’ Muulizaji: ... na sisi hatuwaombi isipokuwa kwa yale wayawezayo, na nyinyi si wengine isipokuwa ni maadui wa mawalii wa Allaah na warithi wake.” ´Allaamah al-Fawzaan: Huu ni uongo. Hawawezi kuwaokoa na adhabu. Hawawezi kuwaletea riziki. Hawawezi kwa yale mnayowaomba kutoka kwao. Kwa kuwa wao ni maiti. Nyinyi ni waweza kuliko wao. Haya ndio maajabu! Nyinyi ni waweza kuliko wao. Nyinyi mko hai na mna uwezo, hawa ni maiti, mifupi wasioweza kitu. Yaa Subhaana Allaah! Ziko wapi akili? إِن تَدْعُوهُمْ لَا يَسْمَعُوا دُعَاءَكُمْ وَلَوْ سَمِعُوا مَا اسْتَجَابُوا لَكُمْ ۖ وَيَوْمَ الْقِيَامَةِ يَكْفُرُونَ بِشِرْكِكُمْ ۚ وَلَا يُنَبِّئُكَ مِثْلُ خَبِيرٍ "Mkiwaomba, hawasikii maombi yenu, na hata wakisikia, basi (wasingeliweza) kukujibuni. Na Siku ya Qiyaamah watakanusha ushirikina wenu, na wala hakuna atakayekujulisha kama Khabiyr (Mjuzi kwa ukina yaliyodhahiri na yaliyofichikana)." (35:14) Naye ni Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala).

Muulizaji:
“Pindi tunapowanasihi baadhi ya watu wanaoyategemea makaburi na mawalii, wanatoa dalili ya kwamba mawalii wana karama…

´Allaamah al-Fawzaan:
Ndio wana karama, lakini hili halifanyi kuwaabudu pamoja na Allaah. Kuwa na karama, Allaah Anajua zaidi. Baadhi yao hawana karama, isipokuwa ni uongo tu na Dajjal na hawana karama. Lakini ikisihi kweli ya kwamba ana karama, hili halipekei kufanyiwa kitu katika ´Ibaadah.

Muulizaji:
… wanatolea dalili ya kwamba mawalii wana karama na kwamba sisi hatukuwaomba isipokuwa kwa yale wayawezayo, na kwamba nyinyi…

´Allaamah al-Fawzaan:
Subhaana Allaah! Wamekubali wenyewe ya kwamba wanawaomba. Hii ni Shirki. Wakisema “na sisi hatuwaombi” inamaana wamekubali ya kwamba wanawaomba, hii ni Shirki.
وَأَنَّ الْمَسَاجِدَ لِلَّـهِ فَلَا تَدْعُوا مَعَ اللَّـهِ أَحَدًا
“Na kwamba Misikiti ni (kwa ajili) ya Allaah, basi msiombe (msimuabudu) yeyote pamoja na Allaah.” (72:18)’’

Muulizaji:
… na sisi hatuwaombi isipokuwa kwa yale wayawezayo, na nyinyi si wengine isipokuwa ni maadui wa mawalii wa Allaah na warithi wake.”

´Allaamah al-Fawzaan:
Huu ni uongo. Hawawezi kuwaokoa na adhabu. Hawawezi kuwaletea riziki. Hawawezi kwa yale mnayowaomba kutoka kwao. Kwa kuwa wao ni maiti. Nyinyi ni waweza kuliko wao. Haya ndio maajabu! Nyinyi ni waweza kuliko wao. Nyinyi mko hai na mna uwezo, hawa ni maiti, mifupi wasioweza kitu. Yaa Subhaana Allaah! Ziko wapi akili?

إِن تَدْعُوهُمْ لَا يَسْمَعُوا دُعَاءَكُمْ وَلَوْ سَمِعُوا مَا اسْتَجَابُوا لَكُمْ ۖ وَيَوْمَ الْقِيَامَةِ يَكْفُرُونَ بِشِرْكِكُمْ ۚ وَلَا يُنَبِّئُكَ مِثْلُ خَبِيرٍ
“Mkiwaomba, hawasikii maombi yenu, na hata wakisikia, basi (wasingeliweza) kukujibuni. Na Siku ya Qiyaamah watakanusha ushirikina wenu, na wala hakuna atakayekujulisha kama Khabiyr (Mjuzi kwa ukina yaliyodhahiri na yaliyofichikana).” (35:14)

Naye ni Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala).