Salaf Walikuwa Hawaimbi Anashiyd (Qaswiydah)

Imaam al-Albaaniy: Katika Uislamu kuna mashairi bila shaka. Na kasema Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam): "Hakika katika mashairi kuna hekima." Ama kuimba kwa mashairi na kuziita ni "Anashiyd" na kuwa ni "Anashiyd za kidini", jambo hili walikuwa hawalijui Salaf-us-Swaalih kabisa. Na jambo hili linamafungamano na kanuni tulizotaja karibu nayo ni mukhtasari wa yale ambayo wanachuoni huwa wakisema: "Na kila kheri inapatikana kwa kuwafuata waliotangulia, na kila shari inapatikana kwa kufuata waliozusha waliokuja baadae."

Imaam al-Albaaniy:

Katika Uislamu kuna mashairi bila shaka. Na kasema Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):

“Hakika katika mashairi kuna hekima.”

Ama kuimba kwa mashairi na kuziita ni “Anashiyd” na kuwa ni “Anashiyd za kidini”, jambo hili walikuwa hawalijui Salaf-us-Swaalih kabisa. Na jambo hili linamafungamano na kanuni tulizotaja karibu nayo ni mukhtasari wa yale ambayo wanachuoni huwa wakisema:

“Na kila kheri inapatikana kwa kuwafuata waliotangulia, na kila shari inapatikana kwa kufuata waliozusha waliokuja baadae.”


  • Author: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy As-ilah wa Fataawa al-Imaaraat (2)
  • Kitengo: Uncategorized , Mchanganyiko
  • Mfasiri: http://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Friday 18th, October 2013