Sababu Ya Ahlus-Sunnah Kuwakufurisha Rawaafidhw

´Allaamah al-Jaamiy: Wala haijuzu kuitakidi kuwa wale wenye madhambi makubwa wako Motoni, Bali haijuzu kumshuhudia yeyote Moto ila aliyemshuhudia Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Kama jinsi haijuzu kumshuhudia yeyote Jannah ila aliyemshuhudia Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Vipi kwa wale wanaokwenda kinyume. kashuhudia Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kuwa, Abu Bakr na ´Umar wako Peponi, kunakuja jitu anasema "Ni masanamu wawili wako Motoni." Imani kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) iko wapi? Hii ndio siri kuwakufurisha Ahl-us-Sunnah Rawaafidhw. Kwa kuwa wamemkadhibisha Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kwenye masuala mengi.

´Allaamah al-Jaamiy:

Wala haijuzu kuitakidi kuwa wale wenye madhambi makubwa wako Motoni, Bali haijuzu kumshuhudia yeyote Moto ila aliyemshuhudia Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Kama jinsi haijuzu kumshuhudia yeyote Jannah ila aliyemshuhudia Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Vipi kwa wale wanaokwenda kinyume. kashuhudia Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kuwa, Abu Bakr na ´Umar wako Peponi, kunakuja jitu anasema “Ni masanamu wawili wako Motoni.” Imani kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) iko wapi? Hii ndio siri kuwakufurisha Ahl-us-Sunnah Rawaafidhw. Kwa kuwa wamemkadhibisha Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kwenye masuala mengi.