Msimamo Kwa Wanachuoni Wa Ahl-ul-Bid´ah

Imaam Ibn Qayyim (Rahimahu Allaah) amesema: "Hali kadhalika mzushi yuko dhidi ya Sunniy kwa sababu anamfuata Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na halinganishi Sunnah na maoni ya wanaume wala na kitu kingine kinachoenda kinyume nayo." Ukimwambia mzushi: "Mche Allaah! Hii ni Bid´ah. Shikamana na Sunnah", anasema: "Mambo haya yana tofauti." Hivi kweli kuna tofauti katika kushikamana na Sunnah? Ndio, kwao kuna tofauti. Wanasema: "Lau ingekuwa wajibu kushikamana na Sunnah basi mwanachuoni fulani na fulani wasingeenda kinyume." Katika wazushi kuna wanachuoni, lakini maoni yao yanachukuliwa? Hapana, hayachukuliwi. Haijalishi kitu hata kama ni wanachuoni. Mzungumzaji: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan Chanzo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (20) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighasah-12-2-1435-01.mp3 Toleo la: 16.04.2016 Imefasiriwa na: Wanachuoni.com

Imaam Ibn Qayyim (Rahimahu Allaah) amesema:

“Hali kadhalika mzushi yuko dhidi ya Sunniy kwa sababu anamfuata Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na halinganishi Sunnah na maoni ya wanaume wala na kitu kingine kinachoenda kinyume nayo.”

Ukimwambia mzushi: “Mche Allaah! Hii ni Bid´ah. Shikamana na Sunnah”, anasema: “Mambo haya yana tofauti.” Hivi kweli kuna tofauti katika kushikamana na Sunnah? Ndio, kwao kuna tofauti. Wanasema: “Lau ingekuwa wajibu kushikamana na Sunnah basi mwanachuoni fulani na fulani wasingeenda kinyume.” Katika wazushi kuna wanachuoni, lakini maoni yao yanachukuliwa? Hapana, hayachukuliwi. Haijalishi kitu hata kama ni wanachuoni.

Mzungumzaji: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Chanzo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (20) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighasah-12-2-1435-01.mp3
Toleo la: 16.04.2016
Imefasiriwa na: Wanachuoni.com


  • Kitengo: Uncategorized , Manhaj
  • Mfasiri: http://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Saturday 16th, April 2016