Maswali Mbali Mbali Ya Ukafiri Wa Mwenye Kuacha Swalah

Swali: Je atabakizwa motoni milele mwenye kuacha Swalah kwa kukusudia? Imaam Ibn Baaz: Kauli yenye nguvu ni kwamba ni kufuru kubwa, kama zinavyodhihiri Hadiyth. "Baina ya mja na kufuru ni mtu kuacha Swalah." Imaam Ibn Baaz: Hizi ni katika hoja za kumkufurisha mwenye kuacha Swalah. Muulizaji: Vipi kwa mwenye kuacha kwa uzembe (uvivu)? Imaam Ibn Baaz: Hapa ndo mahala penye tofauti, lakini sahihi ni kwamba anakufuru. Ama akipinga uwajibu wake wamekubaliana Ijmaa´ kwa ukafiri wake. Muulizaji: Je inafahamika katika Hadiyth kuwa mwenye kuacha kwa uzembe hatoweza kupiga Sujudu (siku ya Qiyaamah) na hatotoka Motoni? Imaam Ibn Baaz: Hizi ni katika hoja za wenye kukufurisha. Muulizaji: Vipi ikiwa ataacha baadhi ya wakati? Imaam Ibn Baaz: Hizi ni katika hoja za wenye kukufurisha. Muulizaji: Lipi jibu kwa mwenye kuacha baadhi ya nyakati? Imaam Ibn Baaz: Jibu lililo la dhahiri katika Sunnah ni kwamba anakufuru.

Swali:
Je atabakizwa motoni milele mwenye kuacha Swalah kwa kukusudia?

Imaam Ibn Baaz:
Kauli yenye nguvu ni kwamba ni kufuru kubwa, kama zinavyodhihiri Hadiyth.
“Baina ya mja na kufuru ni mtu kuacha Swalah.”

Imaam Ibn Baaz:
Hizi ni katika hoja za kumkufurisha mwenye kuacha Swalah.

Muulizaji:
Vipi kwa mwenye kuacha kwa uzembe (uvivu)?

Imaam Ibn Baaz:
Hapa ndo mahala penye tofauti, lakini sahihi ni kwamba anakufuru. Ama akipinga uwajibu wake wamekubaliana Ijmaa´ kwa ukafiri wake.

Muulizaji:
Je inafahamika katika Hadiyth kuwa mwenye kuacha kwa uzembe hatoweza kupiga Sujudu (siku ya Qiyaamah) na hatotoka Motoni?

Imaam Ibn Baaz:
Hizi ni katika hoja za wenye kukufurisha.

Muulizaji:
Vipi ikiwa ataacha baadhi ya wakati?

Imaam Ibn Baaz:
Hizi ni katika hoja za wenye kukufurisha.

Muulizaji:
Lipi jibu kwa mwenye kuacha baadhi ya nyakati?

Imaam Ibn Baaz:
Jibu lililo la dhahiri katika Sunnah ni kwamba anakufuru.


  • Author: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • http://youtu.be/FkircMSJXd0
  • Kitengo: Uncategorized , Shirki kubwa & yanayovunja Uislamu wa mtu & kuritadi
  • Mfasiri: http://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Sunday 20th, October 2013