Kusema Mtume Maisha Yake Yalikuwa Ni Ya Kidemokrasia

´Allaamah Muhammad al-Jaamiy: Kuita maisha ya Mtume (´alayhis-Salaam) ambaye anachukua Wahyi kutoka kwa Allaah na anabainisha Ahkaam za Allaah na Shari´ah ya Allaah kwa waja Wake, maisha hayo kuyaita kuwa ni "maisha ya demokrasia" ni dhuluma na ujinga. Demokrasia ni kumkufuru Allaah. Demokrasia inaendana na Kauli Yake (Ta´ala): اتَّخَذُوا أَحْبَارَهُمْ وَرُهْبَانَهُمْ أَرْبَابًا مِّن دُونِ اللَّـهِ "Wamewafanya Ahbaar (Makuhani - wanavyuoni wa Kiyahudi) wao na Ruhbaan (Wamonaki - watawa) wao kuwa ni miungu badala ya Allaah." (09:31) Yaani wabunge hao ndio miungu wao badala ya Allaah, na hawana lolote kuhusiana na Uislamu. Inawagusa Aayah hii. Hivyo, taabiri hii [kwamba maisha ya Mtume yalikuwa yakidemokrasia] ni ya makosa. Ni juu ya aliyesema hivi atubie na amuombe msahama Allaah (Ta´ala).

´Allaamah Muhammad al-Jaamiy:

Kuita maisha ya Mtume (´alayhis-Salaam) ambaye anachukua Wahyi kutoka kwa Allaah na anabainisha Ahkaam za Allaah na Shari´ah ya Allaah kwa waja Wake, maisha hayo kuyaita kuwa ni “maisha ya demokrasia” ni dhuluma na ujinga. Demokrasia ni kumkufuru Allaah. Demokrasia inaendana na Kauli Yake (Ta´ala):

اتَّخَذُوا أَحْبَارَهُمْ وَرُهْبَانَهُمْ أَرْبَابًا مِّن دُونِ اللَّـهِ
“Wamewafanya Ahbaar (Makuhani – wanavyuoni wa Kiyahudi) wao na Ruhbaan (Wamonaki – watawa) wao kuwa ni miungu badala ya Allaah.” (09:31)

Yaani wabunge hao ndio miungu wao badala ya Allaah, na hawana lolote kuhusiana na Uislamu. Inawagusa Aayah hii. Hivyo, taabiri hii [kwamba maisha ya Mtume yalikuwa yakidemokrasia] ni ya makosa. Ni juu ya aliyesema hivi atubie na amuombe msahama Allaah (Ta´ala).