Kujenga Nyumba Au Msikiti Makaburini

Imaam Ibn Baaz: Mtu akipatwa na shaka na akafikiria kuwa ameswali Rakaa mbili atajaalia kuwa ni Rakaa mbili kweli, akifikiria kuwa ameswali Rakaa tatu atajaalia kuwa Rakaa tatu, Sijda ya kusahau itakuwa baada ya yeye kutoa Salaam - ikiwa amepatwa na dhana (kuwa Rakaa azizoswali sivyo). Hali kadhalika ikiwa atatoa Salaam kwa kuswali Rakaa pungufu au akazidisha, atasujudu Sijda ya kusahau baada ya yeye kutoa Salaam, kama ilivyokuja katika Hadiyth. Katika hizi hali mbili Sijda ya kusahau inakuwa baada ya Salaam. Hali ya kwanza ikiwa atajiwa na dhana (shaka), kaswali (Rakaa) tatu badala ya nne, au kaswali nne badala ya kuswali tatu - muhimu akijiwa tu na dhana atatoe salaam kisha ndo asujudu Sijda ya kusahau. Ama ikiwa atatoa Salaam kwa (Rakaa) pungufu, Rakaa moja au zaidi kisha akakamilisha (baada ya Swala atapokumbushwa au atapokumbuka mwenyewe) atatoa Salaam (kwanza) kisha ndo asujudu Sijda ya kusahau kama ilivyokuja katika Hadiyth, (Mtume) alikamilisha Swalah kwanza akatoa Salaam, kisha ndo akaleta Sijda mbili ya kusahau. Yasiyokuwa haya Sijda ya kusahau inakuwa kabla ya kutoa Salaam.

Imaam Ibn Baaz:

Mtu akipatwa na shaka na akafikiria kuwa ameswali Rakaa mbili atajaalia kuwa ni Rakaa mbili kweli, akifikiria kuwa ameswali Rakaa tatu atajaalia kuwa Rakaa tatu, Sijda ya kusahau itakuwa baada ya yeye kutoa Salaam – ikiwa amepatwa na dhana (kuwa Rakaa azizoswali sivyo).

Hali kadhalika ikiwa atatoa Salaam kwa kuswali Rakaa pungufu au akazidisha, atasujudu Sijda ya kusahau baada ya yeye kutoa Salaam, kama ilivyokuja katika Hadiyth. Katika hizi hali mbili Sijda ya kusahau inakuwa baada ya Salaam.

Hali ya kwanza ikiwa atajiwa na dhana (shaka), kaswali (Rakaa) tatu badala ya nne, au kaswali nne badala ya kuswali tatu – muhimu akijiwa tu na dhana atatoe salaam kisha ndo asujudu Sijda ya kusahau.
Ama ikiwa atatoa Salaam kwa (Rakaa) pungufu, Rakaa moja au zaidi kisha akakamilisha (baada ya Swala atapokumbushwa au atapokumbuka mwenyewe) atatoa Salaam (kwanza) kisha ndo asujudu Sijda ya kusahau kama ilivyokuja katika Hadiyth, (Mtume) alikamilisha Swalah kwanza akatoa Salaam, kisha ndo akaleta Sijda mbili ya kusahau. Yasiyokuwa haya Sijda ya kusahau inakuwa kabla ya kutoa Salaam.


  • Author: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • http://youtu.be/jAeY9FHuAgk
  • Kitengo: Uncategorized , Tawhiyd na ´Aqiydah
  • Mfasiri: http://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Sunday 20th, October 2013