Kuingia Msikitini Na Nyumbani Na Wakati Wa Kutoka

Namna hii inakuwa pindi mtu anapoingia Msikitini, nyumbani - mtu anaanza kwa mguu wa kulia. Na kutoka mtu anaanza kwa mguu wa kushoto, linafanana hili na alivyokuwa akifanya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alipokuwa akivaa viatu na kanzu alikuwa akianza kwa mguu wa kulia wakati wa kuvaa na wakati wa kuvua mguu wa kushoto. Hili linafanana na wakati mtu anaingia Msikitini na kutoka, wakati wa kuingia nyumbani na kutoka - wakati wa kuingia mtu anaingia kwa mguu wa kulia na kutoka mguu wa kushoto.

Namna hii inakuwa pindi mtu anapoingia Msikitini, nyumbani – mtu anaanza kwa mguu wa kulia. Na kutoka mtu anaanza kwa mguu wa kushoto, linafanana hili na alivyokuwa akifanya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alipokuwa akivaa viatu na kanzu alikuwa akianza kwa mguu wa kulia wakati wa kuvaa na wakati wa kuvua mguu wa kushoto. Hili linafanana na wakati mtu anaingia Msikitini na kutoka, wakati wa kuingia nyumbani na kutoka – wakati wa kuingia mtu anaingia kwa mguu wa kulia na kutoka mguu wa kushoto.


  • Author: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz. Mkanda "Sharh Swahiyh al-Bukhaariy"
  • Kitengo: Uncategorized , Fiqh
  • Mfasiri: http://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Sunday 20th, October 2013