Kuacha Kujishughulisha Na TV

´Allaamah al-Waadi´iy: Na sisi tunawanasihi ndugu zetu waendelee kutafuta elimu, atakayeweza kutosikiliza idhaa wala kutosoma magazeti, afanye hivyo. Kwani msingi wake umejengeka kwenye uongo, idhaa msingi wake umejengeka katika siasa na uongo n.k. Tunanasihi ndugu wote kujiepusha na mambo haya na washughulike na Qur-aan na Sunnah za Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Na wafanye mazoezi, akiita kiongozi Jihaad katika njia ya Allaah dhidi ya Makafiri mtu awe tayari. Mpaka tuweze kujumuisha baina ya hili [yaani kutafuta elimu] na hili [Jihaad].

´Allaamah al-Waadi´iy:

Na sisi tunawanasihi ndugu zetu waendelee kutafuta elimu, atakayeweza kutosikiliza idhaa wala kutosoma magazeti, afanye hivyo. Kwani msingi wake umejengeka kwenye uongo, idhaa msingi wake umejengeka katika siasa na uongo n.k.

Tunanasihi ndugu wote kujiepusha na mambo haya na washughulike na Qur-aan na Sunnah za Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Na wafanye mazoezi, akiita kiongozi Jihaad katika njia ya Allaah dhidi ya Makafiri mtu awe tayari. Mpaka tuweze kujumuisha baina ya hili [yaani kutafuta elimu] na hili [Jihaad].