Kauli Za Kufuru Za al-Qaradhwaawiy

al-Qaradhwaawiy anasema lau Mola wa walimwengu Angeliteremka na kushiriki katika ugombea (uchaguzi) asingelipata kura nyingi kama Sharon, sijui ni yeye au ni myahudi. Mola wa walimwengu! Hii inamaana myahudi ni bora kuliko Allaah. Huyu mmoja anasifia Mayahudi na yule mwengine Manaswara. Balaa ipi hii? al-Qaradhwaawiy anasema sisi hatupigani vita na Mayahudi na Manaswara kwa ajili ya ´Aqiydah wala si kwa ajili ya Dini. Anasema tunapigana nao kwa ajili ya wao kuchukua ardhi yetu waliochukua kwetu. Hatupigani kwa ajili ya Dini na ´Aqiydah? Angalia ujinga kama huu! Mmoja katika ndugu zetu anasema lau mtu angelinambia kuwa al-Qaradhwaawiy ndiye aliyesema haya nisingelikubali. Lakini anasema nimemsikia mwenyewe kwenye TV akihutubu mahala Misri akisema hataki mji wa kidini yeye yuko dhidi ya mji wa kidini, anataka mji wa wananchi. Acha ujanja, kwa nini unasema ya wananchi? Sema ya kisekula au ya kidemokrasia.

al-Qaradhwaawiy anasema lau Mola wa walimwengu Angeliteremka na kushiriki katika ugombea (uchaguzi) asingelipata kura nyingi kama Sharon, sijui ni yeye au ni myahudi. Mola wa walimwengu! Hii inamaana myahudi ni bora kuliko Allaah. Huyu mmoja anasifia Mayahudi na yule mwengine Manaswara. Balaa ipi hii?

al-Qaradhwaawiy anasema sisi hatupigani vita na Mayahudi na Manaswara kwa ajili ya ´Aqiydah wala si kwa ajili ya Dini. Anasema tunapigana nao kwa ajili ya wao kuchukua ardhi yetu waliochukua kwetu. Hatupigani kwa ajili ya Dini na ´Aqiydah?

Angalia ujinga kama huu! Mmoja katika ndugu zetu anasema lau mtu angelinambia kuwa al-Qaradhwaawiy ndiye aliyesema haya nisingelikubali. Lakini anasema nimemsikia mwenyewe kwenye TV akihutubu mahala Misri akisema hataki mji wa kidini yeye yuko dhidi ya mji wa kidini, anataka mji wa wananchi. Acha ujanja, kwa nini unasema ya wananchi? Sema ya kisekula au ya kidemokrasia.