Kanuni Ya al-Ikhwaan al-Muslimuun Si Sahihi

´Allaamah Muhammad al-Jaamiy: Ikiwa tutafuata kanuni ambazo zimebuni baadhi ya watu: "Tusaidiane kwa yale yunayoafikiana na tupeane udhuru kwa yale tunayotofautiana." Hii ni kanuni ya kuangamiza. Ni kanuni inayoangamiza kuamrishana mema na kukatazana maovu, kupeana nasaha na kuelekezana. Ni kanuni inayotaka kusema: "Ikiwe wewe ni Raafidhwiyyah, Bid´iyyah, Ash´ariyyah, Suufiyyah, Suniyyah nyote kinachowakutaniha ni Uislamu." Andika Uislamu wako nyuma ya uso wako na utulie. Hapana. Ni kosa. Kujinasibisha tu na Uislamu bila ya kuwepo Uislamu [sahihi], kuupokea na ´amali haufidishi kitu. Kupendana na kuchukiana kwa ajili ya Allaah ni katika mambo ya msingi ya Uislamu. Unampenda mtu kwa kule yeye kumpenda kwake Allaah kwa unavyomuona, ni mwenye ´Ibaadah na ´amali nyingi. Na unamchukia mtu kwa kule kumbughudhi kwake Allaah, au anabughudhi Dini ya Allaah, au mawalii wa Allaah, au analingania katika kuipiga vita Dini ya Allaah na ´Aqiydah. Kufanya kwako hivi ni ´amali njema inayokukurubisha kwa Allaah. Kwa hivyo, kanuni tuliyoiashiria ni kanuni isiyokuwa ya sahihi.

´Allaamah Muhammad al-Jaamiy:

Ikiwa tutafuata kanuni ambazo zimebuni baadhi ya watu:

“Tusaidiane kwa yale yunayoafikiana na tupeane udhuru kwa yale tunayotofautiana.”

Hii ni kanuni ya kuangamiza. Ni kanuni inayoangamiza kuamrishana mema na kukatazana maovu, kupeana nasaha na kuelekezana. Ni kanuni inayotaka kusema:

“Ikiwe wewe ni Raafidhwiyyah, Bid´iyyah, Ash´ariyyah, Suufiyyah, Suniyyah nyote kinachowakutaniha ni Uislamu.”
Andika Uislamu wako nyuma ya uso wako na utulie. Hapana. Ni kosa. Kujinasibisha tu na Uislamu bila ya kuwepo Uislamu [sahihi], kuupokea na ´amali haufidishi kitu. Kupendana na kuchukiana kwa ajili ya Allaah ni katika mambo ya msingi ya Uislamu. Unampenda mtu kwa kule yeye kumpenda kwake Allaah kwa unavyomuona, ni mwenye ´Ibaadah na ´amali nyingi. Na unamchukia mtu kwa kule kumbughudhi kwake Allaah, au anabughudhi Dini ya Allaah, au mawalii wa Allaah, au analingania katika kuipiga vita Dini ya Allaah na ´Aqiydah. Kufanya kwako hivi ni ´amali njema inayokukurubisha kwa Allaah. Kwa hivyo, kanuni tuliyoiashiria ni kanuni isiyokuwa ya sahihi.