Mwenye Kusema Ya Kwamba Aadam Alifanya Makosa Mawili

Swali:
Imethibiti katika baadhi ya Hadiyth ya kwamba Aadam (´alayhis-Salaam) alifanya makosa mawili. Kosa la kwanza aliomba...

Jibu:

Ewe ndugu! Msimseme vibaya Aadam. Aadam ni Nabii katika Manabii wa Allaah. Ni Nabii Aliyeongeleshwa. Isitoshe, ni baba yenu. Hata baba yenu mwamsema hivyo? Acheni maneno kama haya.