Mwanamke Bibi Kizee Anaweza Kusafiri Bila Mahram?

Swali:
Inajuzu kwa mwanamke bibi kizee kusafiri bila ya Mahram?

Jibu:

Hapana, haijuzu. Asisafiri bila Mahram:

“Si halali kwa mwanamke anayemwamini Allaah na siku ya Mwisho kusafiri isipokuwa awe pamoja nae Mahram.”

Hadiyth ni yenye kuenea.

Mzungumzaji: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Chanzo: Sharh Fath-il-Majiyd (35) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid%20-%208%20-%201%20-%201437.mp3
Toleo la: 08.05.2016
Imefasiriwa na: Wanachuoni.com


  • Kitengo: , Safari mwanamke
  • Mfasiri: http://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Sunday 8th, May 2016