Mtu Asiyefanya Matendo Kabisa Sio Muislamu

Swali:
Ni ipi hukumu ya mwenye kuacha kufanya matendo na kusema kuwa hayaingii katika imani?

Jibu:

Sio muislamu. Mtu akiacha matendo na kusema kuwa ni muumini ilihali hatendi, sio muislamu. Imani ni maneno ya ulimi, I´tiqaad ya moyo na matendo ya viungo. Inazidi kwa utiifu na inapungua kwa maasi. Imani sio mchezo tu.

Mzungumzaji: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Chanzo: Sharh Fath-il-Majiyd (35) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid%20-%208%20-%201%20-%201437.mp3
Toleo la: 08.05.2016
Imefasiriwa na: Wanachuoni.com


  • Kitengo: , Imani, Kufuru na Shirki
  • Mfasiri: http://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Sunday 8th, May 2016