Kutumia Qur-aan Ili Mtu Apate Usingizi

Swali:
Ni ipi hukumu ya kutumia Qur-aan katika kifaa kwa ajili ya kutaka kupata usingizi?

Jibu:

Hakuna neno. Qur-aan ni nzuri. Kule kusikiliza kwake Qur-aan ni bora kuliko kusikiliza nyimbo ili mtu apate usingizi kwa ajili yake.