Kutumia Dawa Ya Kudurisha Nywele Kwa Mwenye Kipara

Swali:
Kuna mtu amesibiwa na kutokwa na nywele na amekuwa kipara. Je, inajuzu kutumia dawa ya kuotesha nywele?

Jibu:

Inajuzu kutumia dawa ili kuzuia nywele kupotea ikiwa hili halisababishi madhara yoyote.


  • Author: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah. Nambari. 8256
  • Kitengo: , Masuala mbalimbali ya Fiqh
  • Mfasiri: http://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Friday 24th, January 2014