Kusimulia Hadiyth-ul-Qudsiy Kimaana

Swali:
Je, inajuzu kusimulia Hadiyth-ul-Qudsiy kimaana?

Jibu:

Hapana. Hadiyth-ul-Qudsiy ni katika Maneno ya Allaah, sawa matamshi na maana yake. Ni kama mfano wa Qur-aan. Ni lazima kuisimulia kwa matamshi na maana yake.