Kujamiiana Uchi

Swali:
Je kumethibiti makatazo ya kujamiiana uchi?

Jibu:

Mpaka hivi sasa hatutajua makatazo juu ya hilo. Lakini jambo hili limechukizwa [Makruuh]. Bora zaidi ni mke na mume wajifunike kwa kitu wakati wa kujamiiana.


  • Author: Shaykh ´Ubayd bin ´Abdillaah al-Jaabiriy
  • http://ar.miraath.net/fatwah/3126
  • Kitengo: , Kujamiiana
  • Mfasiri: http://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Wednesday 1st, January 2014