Kuifanyia Hesabu Nafsi Kila Siku, Na Si Mwisho Wa Mwaka Tu

Swali:
Kuna maswali mengi yanayoulizia ni yepi yenye kufungamana na mwaka mpya wa Kiislamu...

Jibu:

Hakuna kinachofungamana nao. Ni kama siku zingine zilizosalia. Haukufungamana na kitu. Ni ujinga kujifanyia hesabu nafsi yako. Ifanyie hesabu nafsi yako kila siku na si tu siku ya mwisho ya mwaka. Kila siku kunatimia mwaka na sio tu mwishoni mwa Dhul-Hijjah.

Mzungumzaji: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Chanzo: Sharh Fath-il-Majiyd (36) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majd%20-%2030%20-%2012%20-%201436.mp3
Toleo la: 10.05.2016
Imefasiriwa na: Wanachuoni.com


  • Kitengo: , Imani, Kufuru na Shirki
  • Mfasiri: http://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Tuesday 10th, May 2016