Kugusa Karatasi Ya Qur-aan Pasina Wudhuu

Swali:
Ni ipi hukumu ya kuandika Suurah katika Qur-aan kwenye karatasi, je, karatasi hii inachukuwa hukumu ya msahafu katika kuwajibisha twahara?

Jibu:

Ndio. Kuandika Qur-aan kunachukuwa hukumu ya msahafu. Mtu asiiguse moja kwa moja pasina twahara.