Kufanyakazi Kwenye Shirika Linalouza Bidhaa Za Haramu

Swali:
Inajuzu kufanyakazi kwenye shirika linalouza bidhaa za haramu?

Jibu:

Hapana. Haijuzu kufanyakazi kwenye shirika linalouza bidhaa za haramu:

وَتَعَاوَنُوا عَلَى الْبِرِّ وَالتَّقْوَىٰ ۖوَلَا تَعَاوَنُوا عَلَى الْإِثْمِ وَالْعُدْوَانِ
“Shirikianeni katika wema na uchaji Allaah na wala msishirikiane katika dhambi na uadui.” (05:02)

Swali: Mimi sifanyi bidhaa hizi za haramu, ninafanyakazi tu na masanduku na uhasibu.

Jibu: Yote hayo [yana hukumu moja]. Unawatumikia, unawatumikia. Haijuzu.

Mzungumzaji: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Chanzo: Sharh Fath-il-Majiyd (35) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid%20-%208%20-%201%20-%201437.mp3
Toleo la: 08.05.2016
Imefasiriwa na: Wanachuoni.com


  • Kitengo: , Biashara
  • Mfasiri: http://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Sunday 8th, May 2016