Kisomo Cha Qur-aan Kwa Ajili Ya Matatizo Ya Kindoa

Swali:
Kuna mwanamke alimpigia simu msomaji wa Ruqyah na kumshtakia matatizo alonayo yeye na mume wake. Mtu huyo akamwambia asome Suurah "ash-Shuuraa´" na "al-Israa´" wiki nzima na kwamba mume atarudi kuwa kama alivyokuwa mwanzoni.

Jibu:

Huu ni uongo na uzushi. Haijuzu kumsadikisha katika hilo.

Mzungumzaji: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Chanzo: Sharh Fath-il-Majiyd (36) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majd%20-%2030%20-%2012%20-%201436.mp3
Toleo la: 10.05.2016
Imefasiriwa na: Wanachuoni.com


  • Kitengo: , Ruqyah
  • Mfasiri: http://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Tuesday 10th, May 2016