Jini Linataka Kunitenganisha Na Mume Wangu

Swali:
Ni ipi nasaha yako kwa mwanamke alosibiwa na jini na linajaribu kumtenganisha baina yake yeye na mume wake?

Jibu:

Ni juu yako kuwa na subira na kutarajia malipo kwa Allaah. Ajitibishe kwa Ruqyah.

Mzungumzaji: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Chanzo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (31) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1430-10-9.mp3
Toleo la: 18-03-2015
Imefasiriwa na: Wanachuoni.com


  • Kitengo: , Mashetani na Majini
  • Mfasiri: http://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Wednesday 18th, March 2015