Chuo Kinawataka Wanafunzi Wavae Isbaal

Swali:
Inajuzu kwangu kusoma kwenye kituo kinachoshurutisha kuvaa suruwali zinazovuka mafundo mawili ya miguu?

Jibu:

Hapana. Hama wende kwenye chuo kingine. Usende kwenye kituo kinachokulazimisha kuvaa suruwali yenye kuvuka tindi mbili. Soma sehemu nyingine.

Mzungumzaji: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Chanzo: Sharh Fath-il-Majiyd (36) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majd%20-%2030%20-%2012%20-%201436.mp3
Toleo la: 09.05.2016
Imefasiriwa na: Wanachuoni.com


  • Kitengo: , Mavazi
  • Mfasiri: http://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Monday 9th, May 2016