Anaamshwa Kila Siku Na Kiumbe Kuswali Usiku

Swali:
Kuna mwanamke mwema ambaye anajiwa na mwenye kumuamsha usingizini kila siku katikati ya usiku ili aswali swalah ya usiku. Je, hii inahesabika ni katika karama za mawalii wa Allaah au ni jambo linalotokamana na shaytwaan?

Jibu:

Hapana, shaytwaan haamshani kwa ajili ya swalah. Huenda Allaah anamsaidia kupitia kiumbe hicho.

Mzungumzaji: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Chanzo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (13) http://alfawzan.af.org.sa/node/2128
Toleo la: 02.01.2016
Imefasiriwa na: Wanachuoni.com


  • Kitengo: , Tofauti ya karama za Mawalii, miujiza na Ushetani
  • Mfasiri: http://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Saturday 2nd, January 2016