Adhaana Kwenye Redio Iitikiwe?

Swali:
Muislamu arudilie adhaana kwenye redio?

Jibu:

Ikiwa ni adhaana ya aliye hai, aiitikie, na ikiwa ni ya kurekodiwa asiitikie.

Mzungumzaji: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Chanzo: Sharh Fath-il-Majiyd (35) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid%20-%208%20-%201%20-%201437.mp3
Toleo la: 07.05.2016
Imefasiriwa na: Wanachuoni.com


  • Kitengo: , Adhaana
  • Mfasiri: http://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Saturday 7th, May 2016