Imaam Ibn ´Uthaymiyn Kuhusu Kununua TV

Imaam Ibn ´Uthaymiyn: Ama kauli kuwa "Kuna kheri ndani yake." Lakini wakati wa sasa shari ndo nyingi kuliko kheri. Na kwa mtu mwenye akili anatakiwa asiinunue akaweka (TV) kwenye nyumba yake, hata ikiwa ni (TV ya kuangalia taarifa ya) khabari. Kwa kuwa akiwa nyumbani, hatotosheka kuangalia taarifa ya khabari tu. Lazima tu ataangalia taarifa ya khabari na mengine mbali na hayo. Nasaha kwa ndugu zangu, waache kununua TV kabisa bila kujali. Lakini kukija hivi vipindi ambavyo wanatishia sasa, navyo vinarushwa moja kwa moja, ambavyo watatazama watu ambayo nchi za makafiri chafu wayafanyayo... Katika hila na ukafiri... Na uchochezi wa watu dhidi ya kiongozi wao. Kwa kuwa tangu idhaa (hizi za) nje ya nchi kusambaa, kunasemwa kila kitu. Hata kwa yale ambayo yanafarakanisha baina yetu na baina ya kiongozi wetu, watafanya. Kwa kuwa wanataka shari, wanataka maandamano na wanataka machafuko. Hawataki amani kwa hii nchi (Saudi Arabia). Na kwa hili ilikuwa ni wajibu kwa mtu kutahadharisha kwa haya matangazo ya moja kwa moja, mpaka wasalimike watu na shari yao.

Imaam Ibn ´Uthaymiyn:

Ama kauli kuwa “Kuna kheri ndani yake.” Lakini wakati wa sasa shari ndo nyingi kuliko kheri. Na kwa mtu mwenye akili anatakiwa asiinunue akaweka (TV) kwenye nyumba yake, hata ikiwa ni (TV ya kuangalia taarifa ya) khabari. Kwa kuwa akiwa nyumbani, hatotosheka kuangalia taarifa ya khabari tu. Lazima tu ataangalia taarifa ya khabari na mengine mbali na hayo. Nasaha kwa ndugu zangu, waache kununua TV kabisa bila kujali. Lakini kukija hivi vipindi ambavyo wanatishia sasa, navyo vinarushwa moja kwa moja, ambavyo watatazama watu ambayo nchi za makafiri chafu wayafanyayo… Katika hila na ukafiri… Na uchochezi wa watu dhidi ya kiongozi wao. Kwa kuwa tangu idhaa (hizi za) nje ya nchi kusambaa, kunasemwa kila kitu. Hata kwa yale ambayo yanafarakanisha baina yetu na baina ya kiongozi wetu, watafanya. Kwa kuwa wanataka shari, wanataka maandamano na wanataka machafuko. Hawataki amani kwa hii nchi (Saudi Arabia). Na kwa hili ilikuwa ni wajibu kwa mtu kutahadharisha kwa haya matangazo ya moja kwa moja, mpaka wasalimike watu na shari yao.