Ibn Zamaniyn Kuhusu Kuwa Juu Kwa Allaah

Katika ´Aqiydah ya Ahl-us-Sunnah ni kuamini kwamba Allaah ('Azza wa Jalla) Kaumba ´Arshi na Anajulikana kuwa Yuko juu ya kila kitu Alichokiumba. Kisha Akastawaa juu yake (´Arshi) vile Apendavyo. Hii limeelezwa na Yeye Mwenyewe wakati Aliposema: الرَّحْمَـٰنُ عَلَى الْعَرْشِ اسْتَوَىٰ Ar-Rahmaan (Mwingi wa Rahmah) juu ya‘Arsh Istawaa (Yuko juu kwa namna inayolingana na Utukufu Wake Yeye Mwenyewe Allaah). (20 : 05) هُوَ الَّذِي خَلَقَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ فِي سِتَّةِ أَيَّامٍ ثُمَّ اسْتَوَى عَلَى الْعَرْشِ يَعْلَمُ مَا يَلِجُ فِي الْأَرْضِ وَمَا يَخْرُجُ مِنْهَا وَمَا يَنزِلُ مِنَ السَّمَاء وَمَا يَعْرُجُ فِيهَا وَهُوَ مَعَكُمْ أَيْنَ مَا كُنتُمْ وَاللَّهُ بِمَا تَعْمَلُونَ بَصِيرٌ “Yeye ndiye aliyeziumba mbingu na ardhi katika siku sita; kisha Akalingana sawa juu ya ´Arshi. Anayajua yanayoingia katika ardhi na yanayotoka humo, na yanayoteremka kutoka mbinguni, na yanayopanda humo. Naye yupamoja nanyi popote mlipo. Na Allaah ni Mwenye kuyaona mnayoyatenda.” (57 : 04) Ametakasika Yeye ambaye yuko mbali kabisa akawa haonekani hata hivyo akawa karibu kwa ujuzi Wake na nguvu hivyo Anasikia siri zinazofanywa. Mwandishi: Imaam Muhammad bin 'Abdillaah al-Andalusiy – mwenye kujulikana kama Ibn Zamaniyn (d. 399) Chanzo: Usuul-us-Sunnah, uk. 88

Katika ´Aqiydah ya Ahl-us-Sunnah ni kuamini kwamba Allaah (‘Azza wa Jalla) Kaumba ´Arshi na Anajulikana kuwa Yuko juu ya kila kitu Alichokiumba. Kisha Akastawaa juu yake (´Arshi) vile Apendavyo. Hii limeelezwa na Yeye Mwenyewe wakati Aliposema:

الرَّحْمَـٰنُ عَلَى الْعَرْشِ اسْتَوَىٰ
Ar-Rahmaan (Mwingi wa Rahmah) juu ya‘Arsh Istawaa (Yuko juu kwa namna inayolingana na Utukufu Wake Yeye Mwenyewe Allaah). (20 : 05)

هُوَ الَّذِي خَلَقَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ فِي سِتَّةِ أَيَّامٍ ثُمَّ اسْتَوَى عَلَى الْعَرْشِ يَعْلَمُ مَا يَلِجُ فِي الْأَرْضِ وَمَا يَخْرُجُ مِنْهَا وَمَا يَنزِلُ مِنَ السَّمَاء وَمَا يَعْرُجُ فِيهَا وَهُوَ مَعَكُمْ أَيْنَ مَا كُنتُمْ وَاللَّهُ بِمَا تَعْمَلُونَ بَصِيرٌ
“Yeye ndiye aliyeziumba mbingu na ardhi katika siku sita; kisha Akalingana sawa juu ya ´Arshi. Anayajua yanayoingia katika ardhi na yanayotoka humo, na yanayoteremka kutoka mbinguni, na yanayopanda humo. Naye yupamoja nanyi popote mlipo. Na Allaah ni Mwenye kuyaona mnayoyatenda.” (57 : 04)

Ametakasika Yeye ambaye yuko mbali kabisa akawa haonekani hata hivyo akawa karibu kwa ujuzi Wake na nguvu hivyo Anasikia siri zinazofanywa.

Mwandishi: Imaam Muhammad bin ‘Abdillaah al-Andalusiy – mwenye kujulikana kama Ibn Zamaniyn (d. 399)
Chanzo: Usuul-us-Sunnah, uk. 88


  • Kitengo: Uncategorized , Kuwa juu kwa Allaah
  • Mfasiri: http://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Sunday 27th, October 2013