Hukmu Ya Kusikiliza Anashiyd (Qaswiydah) Za Watoto (2)

Swali: Ipi hukumu ya kusikiliza Anashiyd za watoto zilizosajiliwa, na ambazo wakati mwingine zinakuwa na burudani ya dufu? ´Allaamah Ahmad an-Najmiy: Kheri kwako ni wewe kusikiliza Qur-aan au Siyrah ya Mtume au mfano wa hayo. Muulizaji: Hukumu ya Anashiyd zinazoitwa ni za Kiislamu? ´Allaamah Ahmad an-Najmiy: Hizi Anashiyd sio za Kiislamu bali hizi Anashiyd ni za Kisufi. Na zimezushwa na Masufi. Na kusema ni za Kiislamu wanaosema hivyo ni Mubtadi´ah. Na mko na kitabu cha Ibn-ul-Qayyim kuhusiana na haya masuala, kitabu "Istiqaamah" cha Ibn Taymiyyah. Na kuna vitabu vingine kama cha Ibn-ul-Qayyim kaongelea sana kuhusiana na hili.

Swali:
Ipi hukumu ya kusikiliza Anashiyd za watoto zilizosajiliwa, na ambazo wakati mwingine zinakuwa na burudani ya dufu?

´Allaamah Ahmad an-Najmiy:
Kheri kwako ni wewe kusikiliza Qur-aan au Siyrah ya Mtume au mfano wa hayo.

Muulizaji:
Hukumu ya Anashiyd zinazoitwa ni za Kiislamu?

´Allaamah Ahmad an-Najmiy:
Hizi Anashiyd sio za Kiislamu bali hizi Anashiyd ni za Kisufi. Na zimezushwa na Masufi. Na kusema ni za Kiislamu wanaosema hivyo ni Mubtadi´ah. Na mko na kitabu cha Ibn-ul-Qayyim kuhusiana na haya masuala, kitabu “Istiqaamah” cha Ibn Taymiyyah. Na kuna vitabu vingine kama cha Ibn-ul-Qayyim kaongelea sana kuhusiana na hili.