“Hakuna Tofauti Kubwa Kati Yetu Na Raafidhwah”

al-Ikhwaan al-Muslimuunn Yuusuf al-Qaradhwaawiy kasema kuhusu ugomvi kati ya Waislamu na Raafidhwah Iraaq: "Licha ya kwamba, tuna ugomvi mkubwa kati ya Waislamu jambo ambalo linazuia kuwa na viongozi wenye nguvu wa Kiislamu na mashirika. Ni kweli ya kwamba makafiri hufikia hilo wakati mwingine, lakini kwa nini tufarakane mpaka tukifie kuuana? Hili linaendelea kwa mfano hivi sasa nchini Iraaq. Hata hivyo, sote tuna Dini moja, Qiblah kimoja na maandiko mamoja. Tofauti zingine zote sio muhimu". Soma sasa mambo ambayo al-Qaradhwaawiy yeye anaona sio muhimu tofauti kati yetu sisi na Raafidhwah. Hapa chini tunakuwekea baadhi ya Imani wanavyoamini Raafidhwah: 1- ‘Haipendezi lakini inaruhusiwa kufanya Mut’ah na malaya, na khaswa ikiwa anajulikana kwa umalaya wake.’ 2- Baqiyr al-Majlisiy kasema: ”Kila baada ya Swalah, mtu anatakiwa kusema, ”Eeh Allaah! Mlaani Abu Bakr, ´Umar, ´Uthmaan, Mu´aawiyyah, ´Aa´ishah, Hafsah, Hind na Umm al-Hakam”.” Baqiyr al-Majlisiy kasema pia kuhusu ´Aa´ishah na Hafsah (Radhiya Allaahu ´anhumaa): “Walikuwa ni wanafiki.” 3- Wana Shahaadah yao ambayo ni: “Laa ilaaha illa Allaahu, Muhammadur Rasuulullaah – 'Aliy waliyullaah, Khomayni Hujjatullaah (Hapana Mola anayestahiki kuabudiwa isipokuwa Allaah na Muhammad ni Mjumbe wake - ´Aliy ni Walii wake na Khomayni ni Hoja yake). 4- Ushirikina; kutufu katika makaburi kuwa eti ni sawa na kutufu Al-Ka´abah 5- Wanajuzisha maisha na mali ya Ahl-us-Sunnah. Daawuud bin Farqad kasema: “Nilimwambia Abu ´Abdillaah (´alayhis-Salaam): “Wasemaje kuhusu kuwaua Nawaasib? Akasema: ”Inajuzu. Hata hivyo, watakiwa kuwa muangalifu. Ikiwa unaweza hata kumpindulia ubambazi au kumshindilia kwenye maji bila ya mtu kuona, ufanye hivyo.” 6- 11- Wanaamini ya kwamba Mitume wote (‘Alayhim-us-Salaam) hawapewi utume mpaka wakubali kuamini kwa makosa vitendo vya Allaah. 7- (Wanadai kuwa) Makhalifa wanne ni ma-mbwa. 8- Allaah hajaumba kiumbe makruhu kuliko mbwa. Lakini Nawaasib ni makruhu zaidi ya hata mbwa katika macho ya Allaah. 9- Hatutamkubali mungu huyu wala Mtume wake huyo ambaye Khalifa wake ni Abu Bakr 10- Hakuna tofauti baina Allaah na ‘Aliy Katika sifa mfano, za Ubwana wa Pete ya Sulaymaan, Ubwana wa siku ya Qiyaamah, Ubwana katika Swiraat Ubwana katika Uwanja, Ubwana wa kuumba majani katika miti, Ubwana wa utundaji matunda, Ubwana wa uteremshaji mvua, Ubwana wa usukumaji wa maji katika mito. Hizi ni baadhi tu ya sababu ambazo al-Qaradhwaawiy yeye anaona si muhimu wala kubwa. Allaah-ul-Musta-´aan. Tunaomba Allaah Atulinde. Imeandaliwa na: Daar-ul-Hadith Toleo la: 22-05-2014 Imefasiriwa na: Wanachuoni.com

al-Ikhwaan al-Muslimuunn Yuusuf al-Qaradhwaawiy kasema kuhusu ugomvi kati ya Waislamu na Raafidhwah Iraaq:

“Licha ya kwamba, tuna ugomvi mkubwa kati ya Waislamu jambo ambalo linazuia kuwa na viongozi wenye nguvu wa Kiislamu na mashirika. Ni kweli ya kwamba makafiri hufikia hilo wakati mwingine, lakini kwa nini tufarakane mpaka tukifie kuuana? Hili linaendelea kwa mfano hivi sasa nchini Iraaq. Hata hivyo, sote tuna Dini moja, Qiblah kimoja na maandiko mamoja. Tofauti zingine zote sio muhimu”.

Soma sasa mambo ambayo al-Qaradhwaawiy yeye anaona sio muhimu tofauti kati yetu sisi na Raafidhwah. Hapa chini tunakuwekea baadhi ya Imani wanavyoamini Raafidhwah:

1- ‘Haipendezi lakini inaruhusiwa kufanya Mut’ah na malaya, na khaswa ikiwa anajulikana kwa umalaya wake.’

2- Baqiyr al-Majlisiy kasema:
”Kila baada ya Swalah, mtu anatakiwa kusema, ”Eeh Allaah! Mlaani Abu Bakr, ´Umar, ´Uthmaan, Mu´aawiyyah, ´Aa´ishah, Hafsah, Hind na Umm al-Hakam”.”

Baqiyr al-Majlisiy kasema pia kuhusu ´Aa´ishah na Hafsah (Radhiya Allaahu ´anhumaa):
“Walikuwa ni wanafiki.”

3- Wana Shahaadah yao ambayo ni: “Laa ilaaha illa Allaahu, Muhammadur Rasuulullaah – ‘Aliy waliyullaah, Khomayni Hujjatullaah (Hapana Mola anayestahiki kuabudiwa isipokuwa Allaah na Muhammad ni Mjumbe wake – ´Aliy ni Walii wake na Khomayni ni Hoja yake).

4- Ushirikina; kutufu katika makaburi kuwa eti ni sawa na kutufu Al-Ka´abah

5- Wanajuzisha maisha na mali ya Ahl-us-Sunnah. Daawuud bin Farqad kasema:
“Nilimwambia Abu ´Abdillaah (´alayhis-Salaam):
“Wasemaje kuhusu kuwaua Nawaasib?
Akasema:
”Inajuzu. Hata hivyo, watakiwa kuwa muangalifu. Ikiwa unaweza hata kumpindulia ubambazi au kumshindilia kwenye maji bila ya mtu kuona, ufanye hivyo.”

6- 11- Wanaamini ya kwamba Mitume wote (‘Alayhim-us-Salaam) hawapewi utume mpaka wakubali kuamini kwa makosa vitendo vya Allaah.

7- (Wanadai kuwa) Makhalifa wanne ni ma-mbwa.

8- Allaah hajaumba kiumbe makruhu kuliko mbwa. Lakini Nawaasib ni makruhu zaidi ya hata mbwa katika macho ya Allaah.

9- Hatutamkubali mungu huyu wala Mtume wake huyo ambaye Khalifa wake ni Abu Bakr

10- Hakuna tofauti baina Allaah na ‘Aliy Katika sifa mfano, za Ubwana wa Pete ya Sulaymaan, Ubwana wa siku ya Qiyaamah, Ubwana katika Swiraat Ubwana katika Uwanja, Ubwana wa kuumba majani katika miti, Ubwana wa utundaji matunda, Ubwana wa uteremshaji mvua, Ubwana wa usukumaji wa maji katika mito.

Hizi ni baadhi tu ya sababu ambazo al-Qaradhwaawiy yeye anaona si muhimu wala kubwa. Allaah-ul-Musta-´aan. Tunaomba Allaah Atulinde.

Imeandaliwa na: Daar-ul-Hadith
Toleo la: 22-05-2014
Imefasiriwa na: Wanachuoni.com


  • Kitengo: Uncategorized , al-Qaradhwaawiy, Yuusuf
  • Mfasiri: http://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Thursday 24th, October 2013