Anashiyd Na Filamu Katika Uislamu Ni Bid´ah

´Allaamah Rabiy´ al-Madkhaliy: Anashiyd na filamu za igizo ni Bid´ah. Haijuzu kuzifanya njia ya Da´wah ya Allaah (´Azza wa Jalla) takatifu. Asili ya filamu ni ´Ibaadah ya masanamu. Walikuwa wakijikurubisha kwayo wenye kuabudu masanamu katika watu wa Roma na Johnaan kwa masanamu yao ili kuyashukuru. Allaah Anapowapa neema, badala ya kumshukuru Allaah, wanapeleka shukran hizi na kwa hizi filamu kama hizi na mfano wa hayo kwa viungu vyao. Watu wa Roma wakazichukua kabla ya kuja Uislamu na Johnaan. Kisha Uislamu ulipokuja ukayatoa yote na kuyasawazisha hata kwa makafiri wakawa wameyaacha. Kisha wakaja Ahl-ul-Ahwaa wakayaingiza katika Uislamu mpaka wakayaingiza Saudi Arabia na katika ardhi tukufu, ambayo haikuwa na filamu si katika Uislamu peke yake hata katika Ujaahiliyyah. Haya ni katika madhambi makubwa na ni kwenda kinyume, mambo ambayo wameyashikilia Ahl-ul-Ahwaa, kisha wakayaingiza katika Shari´ah ya Allaah (´Azza wa Jalla). Maasi na mukhaalafaat ambayo haijuzu kujifananisha nayo.

´Allaamah Rabiy´ al-Madkhaliy:

Anashiyd na filamu za igizo ni Bid´ah. Haijuzu kuzifanya njia ya Da´wah ya Allaah (´Azza wa Jalla) takatifu. Asili ya filamu ni ´Ibaadah ya masanamu. Walikuwa wakijikurubisha kwayo wenye kuabudu masanamu katika watu wa Roma na Johnaan kwa masanamu yao ili kuyashukuru. Allaah Anapowapa neema, badala ya kumshukuru Allaah, wanapeleka shukran hizi na kwa hizi filamu kama hizi na mfano wa hayo kwa viungu vyao. Watu wa Roma wakazichukua kabla ya kuja Uislamu na Johnaan. Kisha Uislamu ulipokuja ukayatoa yote na kuyasawazisha hata kwa makafiri wakawa wameyaacha. Kisha wakaja Ahl-ul-Ahwaa wakayaingiza katika Uislamu mpaka wakayaingiza Saudi Arabia na katika ardhi tukufu, ambayo haikuwa na filamu si katika Uislamu peke yake hata katika Ujaahiliyyah. Haya ni katika madhambi makubwa na ni kwenda kinyume, mambo ambayo wameyashikilia Ahl-ul-Ahwaa, kisha wakayaingiza katika Shari´ah ya Allaah (´Azza wa Jalla). Maasi na mukhaalafaat ambayo haijuzu kujifananisha nayo.