´Allaamah Rabiy´ Kuhusu ´Aliy al-Halabiy Na Tovuti Ya al-Athariyah

Salafiy hasemi uongo, Salafiy hadhulumu. Lakini watu hawa [Ahl-ul-Bid´ah] ni watu wenye kudhulumu na kusema uongo sana. Usalafiyyah wao uko wapi? Wanaita tovuti yao al-Athariy. Ni waongo wajinga. Ni wajinga, kisha wao wanasema ni Athariyyuun. al-Athariy ni Muhammad bin Hanbal, ash-Shaafi´iy, al-Bukhaariy, Muslim, Sufyaan na maimamu wa Waislamu ambao wamehifadhi mamilioni ya Hadiyth au Hadiyth zote za ulimwengu, akiwaradi Ahl-ul-Bid´ah. Ama huyu anawaacha Ahl-ul-Bid´ah wad-Dhwalaal wanawapiga vita Ahl-us-Sunnah, kisha anasema "Mimi ni al-Athariy." Juha wewe kisha wasema ni "al-Athariy". Muongo!

Salafiy hasemi uongo, Salafiy hadhulumu. Lakini watu hawa [Ahl-ul-Bid´ah] ni watu wenye kudhulumu na kusema uongo sana. Usalafiyyah wao uko wapi? Wanaita tovuti yao al-Athariy. Ni waongo wajinga. Ni wajinga, kisha wao wanasema ni Athariyyuun. al-Athariy ni Muhammad bin Hanbal, ash-Shaafi´iy, al-Bukhaariy, Muslim, Sufyaan na maimamu wa Waislamu ambao wamehifadhi mamilioni ya Hadiyth au Hadiyth zote za ulimwengu, akiwaradi Ahl-ul-Bid´ah. Ama huyu anawaacha Ahl-ul-Bid´ah wad-Dhwalaal wanawapiga vita Ahl-us-Sunnah, kisha anasema “Mimi ni al-Athariy.” Juha wewe kisha wasema ni “al-Athariy”. Muongo!