´Allaamah Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy Kuhusu Usaamah al-Quusiy

Usaamah al-Quusiy kama mnavyojua, alikuwa Salafiy wa kweli In Shaa Allaah. Kisha kulipokuja fitina za Abul-Hasan (al-Ma´ribiy), akatumbukia humo. Kisha akaendelea kuathirika na fitina hizi, mpaka akafikia katika daraja ambayo - tunamuomba Allaah Awakinge waislamu nayo na yeye pia. Na mimi siwanasihi kudhudhuria mihadhara na Duruus zake, mpaka atubie kwa Allaah (Tabaaraka wa Ta´ala) katika aliyotumbukia humo. Hakika ni katika aliyeathirika na fitina za Abul-Hasan, na alisaidia fitina zake na kufanya mambo ya kuipatia nguvu. Na mfano wa hilo ni ziara yake katika shirika hii na mialiko yao kwake. Haya ni mambo nimeona na kuzama kwake zaidi katika fitina. Na jitihada katika njama zao (za kuwadanganya watu) kuwa mbali na Rabiy´ na ndugu zake (katika wanachuoni), bali hata katika Manhaj yenyewe ya Salaf. Abul-Hasan kazua misingi mingi na yote ni batili, na Abu Haatim (Usaamah al-Quusiy) hajajikosoa katika hayo lolote. Isitoshe kwa sasa anatakasa, kutetea na kuwasifia watu wa Bid´ah - kwa bahati mbaya. Kaenda mbali zaidi katika fitina, hii imekuja kuwa kama ilivyokuwa tabia yake. Tunamuomba Allaah Tawfiyq na tunamuomba Atusamehe sote. ´Ala kulli haal jiwekeni mbali naye na mihadhara yake mpaka atubie kwa Allaah na arudi katika Manhaj Salaf.

Usaamah al-Quusiy kama mnavyojua, alikuwa Salafiy wa kweli In Shaa Allaah. Kisha kulipokuja fitina za Abul-Hasan (al-Ma´ribiy), akatumbukia humo. Kisha akaendelea kuathirika na fitina hizi, mpaka akafikia katika daraja ambayo – tunamuomba Allaah Awakinge waislamu nayo na yeye pia.

Na mimi siwanasihi kudhudhuria mihadhara na Duruus zake, mpaka atubie kwa Allaah (Tabaaraka wa Ta´ala) katika aliyotumbukia humo. Hakika ni katika aliyeathirika na fitina za Abul-Hasan, na alisaidia fitina zake na kufanya mambo ya kuipatia nguvu.

Na mfano wa hilo ni ziara yake katika shirika hii na mialiko yao kwake. Haya ni mambo nimeona na kuzama kwake zaidi katika fitina. Na jitihada katika njama zao (za kuwadanganya watu) kuwa mbali na Rabiy´ na ndugu zake (katika wanachuoni), bali hata katika Manhaj yenyewe ya Salaf. Abul-Hasan kazua misingi mingi na yote ni batili, na Abu Haatim (Usaamah al-Quusiy) hajajikosoa katika hayo lolote.
Isitoshe kwa sasa anatakasa, kutetea na kuwasifia watu wa Bid´ah – kwa bahati mbaya. Kaenda mbali zaidi katika fitina, hii imekuja kuwa kama ilivyokuwa tabia yake. Tunamuomba Allaah Tawfiyq na tunamuomba Atusamehe sote. ´Ala kulli haal jiwekeni mbali naye na mihadhara yake mpaka atubie kwa Allaah na arudi katika Manhaj Salaf.