´Allaamah al-Fawzaan Kuhusu al-Qaradhwaawiy Na Kitabu Chake “al-Halaal wal-Haraam”

Ni jambo linalojulikana ya kwamba Waislamu leo wanaishi katika kipindi kigumu kutokana nguvu za umagharibini na ustaarabu wa kisumu, tabia na desturi ambayo inaenda kinyume na hukumu nyingi za wengi wa kidini. Ni wajibu kwa Waislamu kwa ujumla na khaswa maulamaa kuzuia (kusimamisha) nguvu hii ili kuilinda Dini na kuteketeza utata. Badala ya kuchukua nafasi hii, tunaona kwa masikitiko makubwa ambayo baadhi ya wanachuoni na waandishi wetu wanavyoeneza upotevu mwingi huu ujao na wanaangalia kinachoweza kuwahalalishia hata walau kama itakuwa kwa gharama ya Dini. Matokeo yake, wanaanza kutafuta rai mbovu na kuchukua hatua za wanachuoni ili waweze kujiegemeza kwazo katika maoni yao. Mmoja katika wao ni mwandishi wa kitabu "al-Halaal wal-Haraam". Kitabu chake kina sehemu kubwa ya hayo. Nimeona kosa lake katika kitabu hiki ambacho nimekichapa kwa mara ya pili. Mwandishi 1396-04-27/1976-04-26 al-I´laam bi Naqd Kitaab-il-Halaal wal-Haraam, uk. 3

Ni jambo linalojulikana ya kwamba Waislamu leo wanaishi katika kipindi kigumu kutokana nguvu za umagharibini na ustaarabu wa kisumu, tabia na desturi ambayo inaenda kinyume na hukumu nyingi za wengi wa kidini. Ni wajibu kwa Waislamu kwa ujumla na khaswa maulamaa kuzuia (kusimamisha) nguvu hii ili kuilinda Dini na kuteketeza utata. Badala ya kuchukua nafasi hii, tunaona kwa masikitiko makubwa ambayo baadhi ya wanachuoni na waandishi wetu wanavyoeneza upotevu mwingi huu ujao na wanaangalia kinachoweza kuwahalalishia hata walau kama itakuwa kwa gharama ya Dini. Matokeo yake, wanaanza kutafuta rai mbovu na kuchukua hatua za wanachuoni ili waweze kujiegemeza kwazo katika maoni yao.

Mmoja katika wao ni mwandishi wa kitabu “al-Halaal wal-Haraam”. Kitabu chake kina sehemu kubwa ya hayo. Nimeona kosa lake katika kitabu hiki ambacho nimekichapa kwa mara ya pili.

Mwandishi
1396-04-27/1976-04-26
al-I´laam bi Naqd Kitaab-il-Halaal wal-Haraam, uk. 3


  • Kitengo: Uncategorized , al-Qaradhwaawiy, Yuusuf
  • Mfasiri: http://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Thursday 24th, October 2013