´Allaamah ´Abdul-Muhsin al-´Abbaad Kuhusu Anashiyd

´Allaamah al-´Abbaad: Mtu anatakiwa kuchunga wakati wake katika yatayomfaa duniani na Akhera, ajishughulishe na kusoma Qur-aan, kusoma vitabu vyenye manufaa, mashairi mazuri ambayo yanashaji´isha katika tabia nzuri na katika adabu nzuri. Ama hizi Anashiyd ambazo zimezuka katika masiku haya yamwisho na ambazo zinawashughulisha kila siku wengi na wanazisambaza, haitakiwi kujishughulisha nazo na wala haitakiwi kuzisikiliza.

´Allaamah al-´Abbaad:

Mtu anatakiwa kuchunga wakati wake katika yatayomfaa duniani na Akhera, ajishughulishe na kusoma Qur-aan, kusoma vitabu vyenye manufaa, mashairi mazuri ambayo yanashaji´isha katika tabia nzuri na katika adabu nzuri.
Ama hizi Anashiyd ambazo zimezuka katika masiku haya yamwisho na ambazo zinawashughulisha kila siku wengi na wanazisambaza, haitakiwi kujishughulisha nazo na wala haitakiwi kuzisikiliza.