al-Huwayniy, ´Abdul-Khaaliq, al-Hawaaliy na al-`Awdah

´Abdur-Rahmaan ´Abdul-Khaaliq na Abu Ishaaq al-Huwayniy hawa wawili huchukuliwa ni Mubtad´iah. Hivyo ndio ilivyo. Hali kadhalika Safar [al-Hawaaliy] na Salmaan [al-´Awdah]. Huchukuliwa ni katika Mubtadi´ah. Hali kadhalika gazeti la as-Sunnah ambalo linafanya Bid´ah. Linaendeshwa na Muhammad Suruur. Huyu na wale wanaoendesha hili. Huchukuliwa ni gazeti la Bid´ah.