Ahl-ul-Bid´ah Wote Wana Umoja Katika Kuipiga Vita Ahl-us-Sunnah

Namna hii watu wa upotofu wanavyokuwa daima. Hata kama baina yao watakuwa na ugomvi na wanatofautiana, lakini ni wamoja katika kuipiga vita Sunnah och Ahl-us-Sunnah. Hili ni tokea zamani mpaka hivi leo. Unawakuta watu wapotofu wanatofautiana na wanagombana, na huenda hata wakakufurishana wao kwa wao, lakini wakiwa na maslahi ya wote wanakuwa wamoja kuipiga vita Ahl-us-Sunnah. Katika hali hii, wanasahau uadui walionao.